Kichwa cha habari usika,
Naomba ushauri kwa wanaoifahamu vizuri shule ya secondary ya Jitegemee au mnaweza nishauri shule nyingine kwa watoto wa kike au mchanganyiko na ada ya kawaida kwa mimi mkulima lakini yenye maadili iliyopo Dar.
Nina binti yangu wiki ijayo ndio wanafanya mtihani ya Taifa.
Naombeni ushauri wenu tafadhali, nitashukuru