PastorA
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 361
- 275
Habari wananchi wenzangu, nimeazimia kulima shamba lakini nimeona hili ni jukwaa husika kwa hizi habari za kilimo sasa naomba ushauri kwa miezi hii ni mazao gani ambayo naweza kufanikiwa nikilima?
Lengo langu kuu ni kulima mazao ya mboga mboga na Chakula,
Naomba msaada wa mawazo na maeneo ambayo naweza kulima.
Asante waungwana karibuni sana.
Lengo langu kuu ni kulima mazao ya mboga mboga na Chakula,
Naomba msaada wa mawazo na maeneo ambayo naweza kulima.
Asante waungwana karibuni sana.