Hapo kuna mambo mengi sana ya kuzingatia. Kwanza upo eneo gani, hali ya hewa inafaa ulime nini, je maji ni ya mvua au umwagiliaji?, soko linahitaji bidhaa gani, kwa kiasi gani na lini, je shamba unalo au unakodi, gharama za uzalishaji ni zipi, utalifikiaje soko? na mengine mengi mkuu.