Msaada/ Ushauri tafadhali

Msindima shukuru MUNGU amekuonyesha mapema please dada yangu nakuomba usiruhusu mapenzi yakupofushe utajajuta baadae.
 
Msindima Pole sana hapo huna kosa kabisaaaaa.
Na una haki ya kumpiga chini yeye ndo hana adabu na heshima hapo unapata picha yeye amesha kuchoka amesha pata kitu kingine wewe achana nae kabisaa piga chini huyo hakufai anakuchezea tu.
 
Msindima shukuru MUNGU amekuonyesha mapema please dada yangu nakuomba usiruhusu mapenzi yakupofushe utajajuta baadae.

mwanajamii,
keep in u r mind that msindima is MADLY IN LOVE!................she cannot step out of the system JUST LIKE THAT
 
Thanks for understanding i know it hurts to hear the truth, but rafiki mwema atakwambia ukweli, am free for any questions and advice coz am much older than most of you here so sometimes i just participate here to see what you have in your relationships. Ubarikiwe
 
Achana nae..yeye ndo hakudhamini hana utu hata!!
 
pole dada ,pl shukuru mungu amekuonyesha mapema,bado unataka kujua lipi tena,najua ni ngumu kumuacha lakini hapo mama ujue hakupendi.
 


Mi bado nanatitizwa kwa nini unamwita mchumba wako wakati hata kwenu hujamtambulisha.

Nyie ndugu zangu mbona hata mafataki mnawaitwa wachumba?mkitendwa mnaanza kulalamika?au hatujui maana ya uchumba?Jamani msindika nakupa pole kwa kulazimisha mtu kumwita mchumba wakati hata kwenu hajaja kuleta barua wala mahalai.ila pole ndo yaleyale ya kujirahisi na kumkabidhi moyo mtu ambaye hata tafasiri za uchumba hazijui.
 
mwanajamii,
keep in u r mind that msindima is MADLY IN LOVE!................she cannot step out of the system JUST LIKE THAT

Ni kweli Geoff kwa sasa itamuwia vigumu lakini akumbuke dalili za mvua ni mawingu akaze moyo

From my own experience
I used to see black dots as not black na sasa inanicost- nilikuwa namtafutia excuse ya kila kibaya alichokuwa akinitendea na kujifariji but now inanitokea puani.

Ingetokea kwangu mimi enzi hizo ningemtetea na kuhisi alikuwa buzy au simu yake ilipata walakini hata akashindwa kuwasiliana nami kipindi hiki kigumu! au ningefunga macho tu na kutojaribu kuona kama amekosea.

I tell you msindima hawa wenzetu wanayo tabia ya kutake for granted itajafika wakati atakufanyia makubwa kuliko then ukiomplain atasema umebadilika wewe mbona alishawahi kukufanyia the same enzi za uchumba hukulalamika.

Take heart my dia and open your eyes; HE IS NOT INTO YOU!
 

Duh Chaku!!

Mimi nafikiri hata kama hakuwa mchumba ila kama walikuwa na mahusiano sidhani kama alitakiwa amtreat hivi ni wazi kuwa huyo ni one of the sadist men waliopo katika dunia hii. Anajua kuwa msindima anampenda sana na huko kumwambia atakwendashitaki kwa 'wakwe' ni wazi anamtishia ina maana yeye ni mjinga asiyejua kuwa hajajitambulisha ataendaje kupeleka mashitaka? unless msindima kuna anachotuficha!

Huyo shemeji dada anapata wapi guts za kutishia kwenda kushtaki wakati hajatambulishwa?
 



kwa maana hiyo basi msindime aseme ukweli wa mahusiano yao kwa kuwa inawezekana hata huo mgogoro upo hapohapo ili kama ni kumshauri ashauriwe kwa kutatua tatizo siyo kutoa lawama.

Kwa kuwa mabishano aliyoyaweka kwenye maada husika maana yake ni kwamba jama bado wapo kwenye mahusiano ya upenzi na wala hapashwi kuwa na mandate ya kumlazimisha Msindima kufanya kitu.

Kingine tumekuwa tukiwalaumu hawa viumbe kuwa ni wabaya lakini hatusomi nyakati!!kweli kwenda outing daily ndo umwiite mchumba wako?
Kuna vitu vinavyoweza kuashiria pale unapokuwa natatizo kama hilo atakavyolibeba ndo ashirio husiko.Waliowengi wanatupenda tu tuwapo wazima na afya nzuri kuanzia kwetu na familia level.

Hapo ilikuwa kidogo tu aanze kukashifu kuwa kifo cha babu yako kinakuhusu nini mpaka uende?si unajua majibu ya kashfa mtu akikuchoka?
 
Chaku naomba kumjibia hapa, kuna mtu aliuliza uchumba unaanzaje
1. Unapotamkiwa na mwanaume (unless huyo umetafutiwa na wazazi na humjui)
2. anapotambulishwa kwenu
3. Mnapokwenda kanisani/msikitini na kuvalishana pete
so huyo wako stage hiyo ya kwanza, ndo an right ya kumwita hivyo kwani kamtamkia ndoa lakini ndo inaonekana wanakwamia hapo, wengine namba 2 wengine amba 3, so huyo ni mchumba kwake.
 
Last edited:

Kitu ambacho ni kigumu mamii hasa ukiwa umelevywa na kilevi PENZI hizo nyakati hutazisoma wala kuzifikiria!
 


Chaku hapo umeniacha hoi....
 
[/COLOR]


Hapo ilikuwa kidogo tu aanze kukashifu kuwa kifo cha babu yako kinakuhusu nini mpaka uende?si unajua majibu ya kashfa mtu akikuchoka?

Chaku hapo nimecheka kwenye hiyo kauli yako,nimeambiwa hivi nilimpa taarifa za nini za msiba na wakati nilipokuwa narudi kutoka kwenye msiba sikumjulisha?
 
Poleni wote kwa yaliyowakuta. nafikiri hapa tusijudge wrong, nafikiri hawana mapenzi ya kweli zaidi ya kutapeliana.

Ninachowashauri kaeni chini muelewane katika nyanja mbili kubadilisha life style zenu au muachane mnapotezeana mida tu. Kwanza kukaa na ugonvi siku nyingi mna maana gani kama siyo ushetani, ikitokea mmegombana kidogo ombaneni samahani ili siku ziendelee. Hivi unafikiri utapata mwanaume au mwanamke mwingine kwa tabia zenu hizo?

Muwe waangalifu acheni ujinga, na viburi visivyo na maana.
 
the best way is to quit that kind of relationship. usijaribu kulazimisha kitu hapo kwa imani eti yatabadilika. mahaba hamna tena na utafute mwelekeo mwingine tu dada. kila la heri. kiufupi achana nae
 
kwa kweli mambo haya ya uchumba sio vizuri kwa watu wengine kusema fulani ana makosa kwa kusikiliza upande mmoja tu, huo BF wa Msindima hatujuhi kwa nini ana mtreat hivyo huyo "mchumbae", na mara nyingi katika haya mambo ya uchumba kila mmoja anajiona sahihi kwa kila anachofanya, cha muhimu kama huwo uchumba wenu hau-workout bac ni bora mkauvunja na kila m2 atafute ubavu wake sahihi
 
Hawali yayote pole na msiba
Dada yangu mchumba huna achana naye tafuta wengine tu basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…