Msaada: Ushauri wa sehemu ninayoweza kupata mkopo kwa ajili ya kuendelea kilimo cha korosho

Msaada: Ushauri wa sehemu ninayoweza kupata mkopo kwa ajili ya kuendelea kilimo cha korosho

Wamweru

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
587
Reaction score
438
Wasalama Wana jamvi
Mimi ni mtanzania ambaye nimeitikia wito wa Serikali wa kulima kilimo cha korosho katika mkoa wa Tabora wilaya ya Kaliua na mpaka sasa nina ekari 20 za korosho zenye umri tofauti, ekari 7 zina umri wa mwaka mmoja na miezi 8 na 13 ina umri wa miezi 6 na lengo langu kufikisha ekari 100 na maeneo hayo ninayo na ninamiliki kisheria kabisa.

Sasa natafuta sehemu ambayo nitapata mkopo ili kutimiza lengo langu la kufikisha ekari 100. Pia nakopesheka maana Nina dhamana zaidi ya hayo mashamba. Yeyote mwenye kujua au ushauri namkaribisha ili niweze kujikwamua kutoka hapa nilipo.
 
Tunaweza kuona hayo mashamba ambayo tayari umesha panda mikorosho
 
Nliwahi kuskia kitu kinaitwa BENKI YA KILIMO.... ila sijui kazi yake
 
Back
Top Bottom