MSAADA; ushauri wenu nahitaji kupanga chumba

MSAADA; ushauri wenu nahitaji kupanga chumba

mew 123

Member
Joined
May 20, 2024
Posts
24
Reaction score
25
Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu.

Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea Kwa kila siku yaan independent

Sababu ya kuja katika jukwaa hili ni kuja kuomba ushauri skills and knowledge kuhusiana na mpangilio na usafi ndani ya chumba ambacho naenda kupanga soon

Naombeni ushauri wenu
Asante
 
Yaani unataka tukupe ushauri na skills za kupangilia chumba na usafi wa chumba?

Are you serious unataka kupanga uishi peke yako?

Yaani huwezi kufanya usafi wa chumba chako unaomba skills mtandaoni? Hebu endelea kuishi na rafiki yako. Amini nakwambia usitoke hapo kamwe!! Mtaani kuna watu wabaya sana aisee. Watu hawana uislamu kabisa watakuumiza mdogo wangu.
 
Una kazi kijana .. wenye nyumba kodi ikiisha washapanga bajet zao kwa kod yako hawataki maneno
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu.

Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea Kwa kila siku yaan independent

Sababu ya kuja katika jukwaa hili ni kuja kuomba ushauri skills and knowledge kuhusiana na mpangilio na usafi ndani ya chumba ambacho naenda kupanga soon

Naombeni ushauri wenu
Asante
Endelea kukaa na mwenzio bado hujafikia ukomavu wa kuka mwenyewe
 
Back
Top Bottom