K Kapuku83 Senior Member Joined Sep 8, 2012 Posts 146 Reaction score 35 Apr 10, 2014 #1 Wadau habari!nimekuja jukwaani hapa kuuliza jambo moja juu ya ushuru wa kuingiza piki piki na bajaj toka nje,nilikua napenda kujua je rate za ushuru wa kuingiza vyombo hivi hapa nchini toka nje kama China na India ukoje?asanteni wadau
Wadau habari!nimekuja jukwaani hapa kuuliza jambo moja juu ya ushuru wa kuingiza piki piki na bajaj toka nje,nilikua napenda kujua je rate za ushuru wa kuingiza vyombo hivi hapa nchini toka nje kama China na India ukoje?asanteni wadau