Msaada usoni

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
Uso wangu una mafuta sana hebu nisaidieni dawa gani ya kutumia.hata ya asili nayo huenda ikafaa tu
 
Wakikujibu nami pia nipatiepo maana mimi imezidi sipaki mafuta hata kidogo lakini mafuta kama ya nguruwe yananinitirika hata kama nisugue uso kwa kitambaa wakati naogo just in 1 minutes nimeshanona
 
watu wengi wanasema ya ar what ya eat?
ila ukweli ni kwamba ya are what ya ar? what made of ya. ya knw the so called genes that regulate the production of proteins, and everything that make ya to be ya
mafuta yanaweza yakafanya ukawa na vipele,, chakula kinaagravate vipele vya mafuta ie acne
ngozi yenye mafuta by itself is hereditary, ya can change diet, and everthing but if ya dad and mama have oily sking
it will do nothing

Discovery Health "Oily Skin Causes"
Androgens{well-known androgen is testosterone} are the hormones largely responsible for oil production,
In a few cases, oily skin can be the result of your lifestyle. Taking oral contraceptives, for example, can alter hormone levels and increase oil production, and oily skin is one of several side effects associated with taking steroids
how to be live good with oily skin?
wengine wanadhani kunawa mara nyingi inasaidia la! hii inaleta mwasho na ngozi kuwa kavu kitu ambacho kinasababisha glands kuzalisha mafuta kwa wingi ivo kuworsen tatizo,, ,,
ushauri osha uso wako mara 2/3 pia unatumia mafuta au lotion zenye alcohol ndani ake,,
astringent {a substance that draws tissue together} hizi zinasaidia kuondoa exces oily from ya skin
pia kama unatumia hormonal therapy kama oral contraceptives, unaweza kufanya mabadiliko,, ukatumia njia nzuri zaidi kama family planning, ,,
visit ya dr in a nearby clinic for more advise
 
Kuna clay mask ya oil of olay inanisaiida mimi. Japo uvivu kweli but at least once a week inakuwa sio mbaya. Unaosha uso na sabuni, unacleanse (sijui kama utatumia cleanser ya oil of olay ama himalaya. Japo johnson johnson wana cleanser nzuri ina salyclic acid ambayo inaondoa acne na blackheads). Baada ya cleansing unapaka clay paste unakaa nayo kama nusu saa (wakati unasafisha chumbani kwako eeh, week end, lol). Ukishaosha uso usipake sabuni tena, unatumia toner.
Hakikisha hautumii sabuni zaidi ya mara mbili kwa siku.

Kama una vipele muone dr.
 
ingia kwenye maduka ya cosmetics makubwa watakupa ushauri mzuri, unaweza tumia cleanser, au face wash soap zinapatikana maduka ya vipodozi.
 
mara nyingi hakuna jib moja kwenye mambo ya ngozi, nadhani ushauri wa kujua aina ya ngozi yako ni primary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…