msaada: usumbufu kwa taasisi zinazopeleka wanafunzi nje kusoma

msaada: usumbufu kwa taasisi zinazopeleka wanafunzi nje kusoma

drilling

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
4,761
Reaction score
4,926
ninasumbuliwa na taasisi moja inayopeleka wanafunzi nje ya nchi kusoma nimelipa pesa tare7/7/2019 mpakal leo nazungushwa nifanye nini nipate haki zangu nitapata wapi mwanasheria wa kunisimamia
 
Back
Top Bottom