D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,761 Reaction score 4,926 Aug 4, 2019 #1 ninasumbuliwa na taasisi moja inayopeleka wanafunzi nje ya nchi kusoma nimelipa pesa tare7/7/2019 mpakal leo nazungushwa nifanye nini nipate haki zangu nitapata wapi mwanasheria wa kunisimamia
ninasumbuliwa na taasisi moja inayopeleka wanafunzi nje ya nchi kusoma nimelipa pesa tare7/7/2019 mpakal leo nazungushwa nifanye nini nipate haki zangu nitapata wapi mwanasheria wa kunisimamia
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 4, 2019 #2 Nyosha maelezo yako... Cc: mahondaw