willy ze great JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 1,071 Reaction score 1,303 Jan 29, 2015 #1 Wadau nasumbuliwa nikikojoa nasika utamu sana usio wa kawaida ndani ya uume au nikibinya uume nasika raha kama ile ya kufika kileleni. Mimi nina miaka 20. Au nikipigapiga uume kwenye mkono nasikia utamu, tatizo ni nini? Sio Kaswende au Gonorea?
Wadau nasumbuliwa nikikojoa nasika utamu sana usio wa kawaida ndani ya uume au nikibinya uume nasika raha kama ile ya kufika kileleni. Mimi nina miaka 20. Au nikipigapiga uume kwenye mkono nasikia utamu, tatizo ni nini? Sio Kaswende au Gonorea?
wakulichomeka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 517 Reaction score 142 Jan 29, 2015 #2 Acha ujinga nenda hosptal ukatibiwe hilo gono Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
GAUTAMA JF-Expert Member Joined Aug 5, 2014 Posts 1,118 Reaction score 690 Jan 30, 2015 #3 Kunywa Cipro 1 dose, ukiona bado choma sindano ya ethromycin kwa siku tatu, ila kwa uhakika zaidi kacheki kipimo cha Vdrl.. Option ya pili, kama unapiga nyeto sana hyo inaweza kua sababu,
Kunywa Cipro 1 dose, ukiona bado choma sindano ya ethromycin kwa siku tatu, ila kwa uhakika zaidi kacheki kipimo cha Vdrl.. Option ya pili, kama unapiga nyeto sana hyo inaweza kua sababu,
Dr Che Guevara Member Joined Jan 19, 2015 Posts 71 Reaction score 33 Jan 30, 2015 #4 GAUTAMA said: Kunywa Cipro 1 dose, ukiona bado choma sindano ya ethromycin kwa siku tatu, ila kwa uhakika zaidi kacheki kipimo cha Vdrl.. Option ya pili, kama unapiga nyeto sana hyo inaweza kua sababu, Click to expand... Over-counter medications ni hatari Mkuu, acha aende hospital jirani kwa utambuzi zaidi coz maelezo yake ni mafupi sana kufanya diagnosis kaka
GAUTAMA said: Kunywa Cipro 1 dose, ukiona bado choma sindano ya ethromycin kwa siku tatu, ila kwa uhakika zaidi kacheki kipimo cha Vdrl.. Option ya pili, kama unapiga nyeto sana hyo inaweza kua sababu, Click to expand... Over-counter medications ni hatari Mkuu, acha aende hospital jirani kwa utambuzi zaidi coz maelezo yake ni mafupi sana kufanya diagnosis kaka
Mkuu wa chuo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 7,620 Reaction score 5,335 Jan 30, 2015 #5 wakulichomeka said: Acha ujinga nenda hosptal ukatibiwe hilo gono Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums Click to expand... Hiyo kweli ni kama kisonono vile...
wakulichomeka said: Acha ujinga nenda hosptal ukatibiwe hilo gono Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums Click to expand... Hiyo kweli ni kama kisonono vile...