Wadau nina kiwanja cha mzee ambaye sasa ni marehemu, ni miaka mingi imepita na sasa nimepata akili nahitaji kutumia hati katika mambo yangu ya kibiashara hasa mikopo!!
Nb: Nilishakabidhiwa urithi kwa taratibu za kimila, naomba mwongozo wenu na gharama zinazohitajika ili kufanikisha hili!!