Habari wakubwa.
Samahanini, ninaomba kujuzwa juu ya utaratibu unaopaswa kufuatwa pale mtu anapohitaji kubadilisha rangi ya gari zima. Je, kuna gharama zozote kisheria katika mchakato huo-mfano inabidi kubadili na kadi ya gari husika?
Natumai hapa ni jukwaa sahihi kwa suala hili, hivyo nitapata msaada stahiki. Natanguliza shukrani, thanx.