Msaada: utaratibu wa kufungua kampuni ya Mikopo

Msaada: utaratibu wa kufungua kampuni ya Mikopo

Butiyangu

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Posts
123
Reaction score
168
Habari wana janvi, nahitaji ushauri pamoja na utaratibu wa namna nzuri ya kufungua kampuni ndogo ya kukopesha fedha, mambo ninayohitaji kuyajua ni;-
1. Kianzio cha mtaji unaohitajika
2. Utaratibu wa kusajili kampuni ya Mikopo.
3. Faida na hasara ya biashara hii
 
Back
Top Bottom