Habari wana janvi, nahitaji ushauri pamoja na utaratibu wa namna nzuri ya kufungua kampuni ndogo ya kukopesha fedha, mambo ninayohitaji kuyajua ni;-
1. Kianzio cha mtaji unaohitajika
2. Utaratibu wa kusajili kampuni ya Mikopo.
3. Faida na hasara ya biashara hii