Msaada: Utaratibu wa kuomba Passport ya kusafiria

Msaada: Utaratibu wa kuomba Passport ya kusafiria

Senior masai

Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
88
Reaction score
89
Habari wana JF,

Ninaomba kufahamishwa kuhusu mahitaji ya application ya international passport na visa, katika vipengele hivi,
  • Mahitaji muhimu
  • Kiasi cha fedha katika process yenyewe
  • Muda wa kukifatilia na muda wa kukipata
  • Ofisi gani zitanisaidia kwa haraka na namkuta mtu wa cheo gani anipitishe bila mbambamba za mawinga.
NATANGULIZA SHUKRANI
 
Visa na wakati passport hauna? Na ni visa ya nchi gani?... Anyway, nenda ofisi za uhamiaji zilizo karibu na wewe watakusaidia hilo swala lako la passport, gharama ya kiserikali ni 150k na inaweza kukaa hadi mwezi kwenye foleni ila pia unaweza kuipata mapema kama itakua na ulazima huo kwa case kadha wa kadha na pesa ikiwa ndani ya case hizo kadha wa kadha.

Mahitaji muhimu: kitambulisho cha NIDA, majina yako kamili, majina ya mama nadhani, sababu za kutaka upatiwe passport, nchi unayotaka kwenda na nini unaenda kufanya huko(hapa nadhani kama sababu itakua ni kusafiri)... Anyway, blah blah ni nyingi kwenye hiko kiform chao but ukifika kwenye hizo ofisi utapata msaada zaidi.
 
Unaomba passport mtandaoni na una upload documents muhimu mtandaoni, una download copy ya application yako ndo unaenda nayo uhamiaji baada ya kulipia 150k kwa control namba na kuprinti kopi yanaipeleka immigration, utafanyiwa interview na kupigwa picha na kuchukuliwa alama za vidole. Baada ya hapo usubiri kwanzia wiki Hadi mwezi kupata passport yako. Unaeza kuangalia mwenendo wa maombi yako kupitia tovuti ya immigration. La kuzingatia Zaid " Mkono mtupu haulambwi" hili nasikiaga waswahili wakisema, ili uweze kuipata kwa haraka zaid
 
Mm nimepata passport yangu ndani ya siku 14 na sijatoa hata senti moja ya kuhonga apart from 150k..mtu wa ndani alinambia sasa hiv maombi yamepungua sana so zinatoka haraka mno...
 
Mm nimepata passport yangu ndani ya siku 14 na sijatoa hata senti moja ya kuhonga apart from 150k..mtu wa ndani alinambia sasa hiv maombi yamepungua sana so zinatoka haraka mno...
Mimi nime peleka fomu siku moja tu, nimeulizwa maswali,kadhaa
1. Mama anaitwa nani
2.kabila lake
3.shule ya misingi nilio soma
4.shule ya sekondari
5. Chuo, baada ya hapo kila kitu kili kuwepo, ikiwepo affidavit ya mama nili lipia elfu kumi tu kwa mwanasheria usi danganyike,mtu akikuambia Lete laki 2 au 3 utapigwa hayo mambo ni siku mbili kama ukichelewa sana, Nika ambiwa nisubiri, baada ya lisaa au 40min nikaitwa nikalipia, nikasubiri tena baada ya 30min Nika itwa Nika piga picha Nika weka alama ya vidole Nika pewa risiti nika pewa wiki moja na siku 5 nikafate wizara ya mambo ya ndani, hamna janja janja Wala kuhonga nili lipia 150k net.
 
Back
Top Bottom