Unaomba passport mtandaoni na una upload documents muhimu mtandaoni, una download copy ya application yako ndo unaenda nayo uhamiaji baada ya kulipia 150k kwa control namba na kuprinti kopi yanaipeleka immigration, utafanyiwa interview na kupigwa picha na kuchukuliwa alama za vidole. Baada ya hapo usubiri kwanzia wiki Hadi mwezi kupata passport yako. Unaeza kuangalia mwenendo wa maombi yako kupitia tovuti ya immigration. La kuzingatia Zaid " Mkono mtupu haulambwi" hili nasikiaga waswahili wakisema, ili uweze kuipata kwa haraka zaid