Msaada: Utaratibu wa kupata hifadhi ya muda nje ya Tanzania

KJ07

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2,446
Reaction score
5,541
Habari wanajukwaa.

Nichukue nafasi hii kutoa pole kwa watanzania wenzangu kwa yanayoendelea.


Niko hapa kupata msaada wa hichi kitu kinaitwa
Asylum Seeking.

NI utaratibu gani mtu afanye kwa ajili ya kupata hifadhi hiyo kwa nchi anayoikusudia impe hifadhi.?

Masharti yakoje?

Kwenu wajuzi wa mambo haya.

Tutarudi tukiwa imara.

Asante,
 
Mungu akutangulie ndugu ........ila piah jaribu kuiuliza chatgpt huku ukisubiria majibu ya wadau.
 
Kuna Wanasiasa ukiwaconsult wanauzoefu na hayo mambo, au wale wanaharakati wanaotuelekeza namna ya kudai haki zetu hiyo michongo wanaifahamu vizuri.
 
Kimbilia ndani ya ofisi za UN au ubalozi unaotaka, waambie serikali wanataka kukuua na kataa kutoka ndani
Mmmmh hii njia inahitaji ujasiri kuliko malelezo.
 
hadi uwe mpakani au ndani ya hiyo nchi unayotaka kwenda uwe na sababu zenye ushahidi ikibidi ushahidi wa matukio uliyofanyia kama kunyanywaswa na kubaguliwa kwa sababu za mtazamo wako wa kijinsia mfano mashoga na wasagaji, kuwa hatarini hiii inawahusu zaidi wanasiasa na wanaharakati. zipo sababu nyingi hizo ni miongoni
 
Baada ya matukio ya 2000 wazanzibari wengi walienda uhamishoni uingereza kama wahanga wa machafuko.

Wazoefu watakupa ABC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…