Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama taratibu zimebadilika, ila inatakiwa ubebe kadi original ya gari ambayo utaiacha pale boda na wakati wa kurudi ndiyo utaichukua.Wakuu habari,
Naomba kujua utaratibu au nyaraka unazotakiwa kuwa nazo ikiwa utasafiri na gari binafsi kwenda nchi nyingine, mathalani Kenya.
Asante mkuu kwa ufafanunuzi.. angalau nimepata pa kuanzia!Sijui kama taratibu zimebadilika, ila inatakiwa ubebe kadi original ya gari ambayo utaiacha pale boda na wakati wa kurudi ndiyo utaichukua.
Inatakiwa pia ukate bima, kwa sababu bima yako ni ya hapa bongo. Ukikata bima ya COMESA ( nadhani utapata Arusha) huwa ni bei rahisi kuliko hizi nyingine, la sivyo unaweza ukakata bima pale pale border.
Pata chanjo yako ya yellow fever pale mnazi mmoja hospitali na anza safari na passport yako mfukoni.
Kama unasafiri na watoto bila mama yao, jiandae kwa maelezo na hoja nzito.
Angalizo: ni muda mrefu tangu mara ya mwisho nisafiri na usafiri binafsi nje ya nchi, kwa maana hiyo inawezekana kuna changes.
Ukifika mpakani unapewa temporary entry permit kulingana na visa yako na kama bima yako haifiki kwenye nchi unayokwenda unakata nyingine inayolingana na muda wa kibali utakachopewaWakuu habari,
Naomba kujua utaratibu au nyaraka unazotakiwa kuwa nazo ikiwa utasafiri na gari binafsi kwenda nchi nyingine, mathalani Kenya.
Bado hajarudi.Mkuu tupe mrejesho