Msaada: Utaratibu wa utoaji wa boom

Msaada: Utaratibu wa utoaji wa boom

Joined
Aug 29, 2014
Posts
73
Reaction score
2
Hbr za cku nyingine njema wadau wa JE? Leo naomba mdau anayefahamu utaratibu mzm wa utoaji wa pesa za kujikimu kwa wanachuo,maana nimeckia wananatoa kwa awamu.Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa michango yenu.
 
Yap ni kwa awamu nne ikimaanisha kila robo semester ambayo ni sawa na miezi miwili kwa hiyo kwa semester 1 mtakua mnasign mara mbili
 
Back
Top Bottom