Matutusgrandchild Member Joined Aug 29, 2014 Posts 73 Reaction score 2 Oct 18, 2014 #1 Hbr za cku nyingine njema wadau wa JE? Leo naomba mdau anayefahamu utaratibu mzm wa utoaji wa pesa za kujikimu kwa wanachuo,maana nimeckia wananatoa kwa awamu.Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa michango yenu.
Hbr za cku nyingine njema wadau wa JE? Leo naomba mdau anayefahamu utaratibu mzm wa utoaji wa pesa za kujikimu kwa wanachuo,maana nimeckia wananatoa kwa awamu.Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa michango yenu.
M Mambaenock JF-Expert Member Joined Aug 7, 2013 Posts 427 Reaction score 107 Oct 18, 2014 #2 Yap ni kwa awamu nne ikimaanisha kila robo semester ambayo ni sawa na miezi miwili kwa hiyo kwa semester 1 mtakua mnasign mara mbili
Yap ni kwa awamu nne ikimaanisha kila robo semester ambayo ni sawa na miezi miwili kwa hiyo kwa semester 1 mtakua mnasign mara mbili
Matutusgrandchild Member Joined Aug 29, 2014 Posts 73 Reaction score 2 Oct 18, 2014 Thread starter #3 mambaenock said: yap ni kwa awamu nne ikimaanisha kila robo semester ambayo ni sawa na miezi miwili kwa hiyo kwa semester 1 mtakua mnasign mara mbili Click to expand... ahsante xana mkuu.
mambaenock said: yap ni kwa awamu nne ikimaanisha kila robo semester ambayo ni sawa na miezi miwili kwa hiyo kwa semester 1 mtakua mnasign mara mbili Click to expand... ahsante xana mkuu.