Kodi yangu imeisha na sina pesa ya kulipa na mwenye nyumba anataka nitoe vitu bila hata subira nimekimbia nimeacha vitu...nitavifuata nikipata sehemu nyingine,kisheria imekaaje hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sidaiwi kodi bali kodi ilivyoisha tu siku hiyo hiyo anataka nihame,Umekimbilia JF umeacha vitu! Nimeshabana kufuli lingine mpaka utakapoleta hiyo kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, nilitania tu kidogo.Mkuu mimi sidaiwi kodi bali kodi ilivyoisha tu siku hiyo hiyo anataka nihame,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili sio suala la kisheriaKodi yangu imeisha na sina pesa ya kulipa na mwenye nyumba anataka nitoe vitu bila hata subira nimekimbia nimeacha vitu...nitavifuata nikipata sehemu nyingine,kisheria imekaaje hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu vitu/mali zako bado ziko ndani ya nyumba, maana yake bado umepashikilia.Kodi yangu imeisha na sina pesa ya kulipa na mwenye nyumba anataka nitoe vitu bila hata subira nimekimbia nimeacha vitu...nitavifuata nikipata sehemu nyingine,kisheria imekaaje hii
Sent using Jamii Forums mobile app