Msaada: Ute kama usaha kwenye sehemu za siri na maumivu wakati wa haja ndogo

Msaada: Ute kama usaha kwenye sehemu za siri na maumivu wakati wa haja ndogo

mahmouddy

Senior Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
128
Reaction score
30
Habari zenu waungwana,

Siku chache zilizopita niliugegeda mchepuko mmoja hivi,so baada ya siku 4 nikajikuta mbele ya kichwa cha Dushelele kuna ute kama usaa, pia nikikojoa mkojo dushe linauma saana, naomba msaaada wenu, ni dawa gani nitumie.

Asanteni waungwana,

Nikipona nitaleta mrejesho, bt naomba msaada wenu.
 
Habari zenu waungwana,siku chache zilizopita nili u gegeda mchepuko mmoja hv,so baada ya siku 4 nikajikuta mbele ya kichwa cha Dushelele kuna ute kama usaa,pia nikikojoa mkojo dushe linauma saaaana,plz naomba msaaada wenu,ni dawa gani nitumie

Asanteni waungwana,NIKIPONA NITALETA MREJESHO bt naomba msahada wenu

Gono hilo
 
Habari zenu waungwana,siku chache zilizopita nili u gegeda mchepuko mmoja hv,so baada ya siku 4 nikajikuta mbele ya kichwa cha Dushelele kuna ute kama usaa,pia nikikojoa mkojo dushe linauma saaaana,plz naomba msaaada wenu,ni dawa gani nitumie

Asanteni waungwana,NIKIPONA NITALETA MREJESHO bt naomba msahada wenu


Kisonono
ni
maradhi ya zinaa
ambayo husababishwa na
bakteria
zinazofahamika kisayansi kama
Neisseria gonorrhoeae
. Bakteria hizo hushambulia utandotelezi unaozunguka
sehemu za siri
.

Ingawa kwa makisio maambukizi 360,000 ya kisonono huripotiwa kila mwaka nchini
Marekani
, wataalamu wamekisia kuwa watu karibia 650,000 huambukizwa kwa mwaka.

Kama ilivyo
klamidia
, kisonono nayo huwa haionyeshi
dalili
. Kisonono ikiwepo huwa na dalili kama zile za
klamidia
ambazo huhusisha mauvimu wakati wa kukojoa na kutokwa kwa
maji
yanayonuka au
usaha
katika
uke
au
uume
.

Kisonono huonekana kwa urahisi kwa wanaume ambao hutoa
usaha
kutoka katika mfereji wa mkojo (
urethra
). Huanza kidogo, lakini huongezeka na huwa mwingi na kusababisha kusikia haja ya kukojoa mara kwa mara huku kukiwa na maumivu.

Kisonono ikisambaa na kufikia
prostate
, mfereji wa mkojo huziba kwa kiasi fulani. Kwa wanawake maambuki hutokea katika
urethra
,
uke
au
mlango wa uzazi
(
cervix
). Ingawa mwasho unaotokana na majimaji katika uke unaweza kuwa mkubwa, mara nyingi dalili hizi huwa ni chache au hamna kabisa katika hatua za awali.

Kisonono isiyotibiwa inaweza kusababisha PID kwa wanawake. Watoto wanaozaliwa na mama wenye kisonono huwa na hatari ya kuambukizwa wakati wa kuzaliwa; maambukizo haya yanaweza kusababisha magonjwa ya
meno
kwa wachanga.
Uchunguzi wa ugonjwa hufanywa kwa kuchungunza usaha kutoka katika uke au uume au mkojo kwa uwepo wa
Neisseria gonorrhoeae
.

Kisonono iliongezeka kwa kiasi kikubwa
Marekani
mnamo miaka ya
1970
na mwanzoni mwa miaka ya
1980
, hadi kukaribia kufikia kiwango cha
magonjwa ya mlipuko
(
epidemic proportions
) kwa vijana wanaobalehe na watu wa
umri wa kati
.
Kisonono hutibiwa kwa
antibaotiki
kadhaa, ingawa maambukizi yamekuwa na ukinzani juu ya tiba ya baadhi ya madawa katika miongo ya nyuma. Moja kati ya mambo magumu katika kupambana na
kisonono
ni kutafuta mahusiano yote ya kimapenzi ya nyuma ya aliyeambukizwa ili kuweza kuzuia usambaaji zaidi wa ugonjwa.

Ushauri wangu nenda Haraka Hospitali kujiibia huo ugonjwa Mkuu.@
mahmouddy
 
Dose imeandikwa na kakajambazi nenda pharmacy dose ya 7 days utakuwa pouwaaah pole sana
 
Ndo akili ikukae sawa wewe, we binadamu lakini unatabia za mbwa na ukienda kununua dawa mnunulie na mkeo pia.
 
Back
Top Bottom