Msaada: UTI inayojirudia

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,106
Reaction score
1,260
wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kujirudia kwa UTI licha ya kutumia dawa mara tatu kwa vipindi tofauti nakuwa pia na dalili za uchachu mkali kinywani kwa muda mrefu
 
Pole kwa tatizo, ushauri moja uti ni ugonjwa wenye dalili za moja kwa moja hivo ni vizuri iwepo dalili na sio ku rely kwenye lab test, pili hata hizo lab jitahidi upate lab ambayo ni uhakika na pia waweza fanya urine culture and sensitivity test pia yaweza kukusaidia kusuggest dawa nzuri ya kutiba kama hao bacteria wamekua sugu kwa dawa zilizo nyingi kwenye mazingira yetu.
 
wakuu nimekua nasumbuliwa na tatizo la kujirudia kwa UTI licha ya kutumia dawa mara tatu kwa vipindi tofauti nakuwa pia na dalili za uchachu mkali kinywani kwa muda mrefu
Nitafute mimi nikupe dawa utumie siku 21 upate kupona.Ukihitaji dawa zangu.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…