bornthelast
Member
- Jul 11, 2022
- 24
- 15
Mkuu unafeli , kumbuka hukuweka 6m kwq mkupuo, ulikua unaweka 500k kila mwezi ,so calculations zilianzia kwa hiyo 500k,then ikaendelea mpaka kufikia 6m end of the year, hesabu hiyo utaipata kuanzia mwaka unaofuataHabarini wakuu, tafadhali aliyeelewa hapa anifafanulie kwenye huo ukokotoaji ulivyofanyika hapo sababu mimi nikipiga hesabu zangu kwa uwekezaji wa Tsh. 500,000 kwa mwezi, manake kwa mwaka ni 6,000,000 kwa riba ya 12% ilitakiwa kuwa jumla 6,720,000 cha ajabu pale kwenye jedwali kuna 6,341,251 kiasi kingine kimeenda wapi?
View attachment 3041215
KajichanganyaSijaelewa hapa yani uwekezaji wa 500k kwa mwaka unakuletea Milioni 6 na ushee?
Kajichanganya huyo calculator inaeleza kiasi cha kuweka kwa hicho kipindI alilichochaguaMkuu unafeli , kumbuka hukuweka 6m kwq mkupuo, ulikua unaweka 500k kila mwezi ,so calculations zilianzia kwa hiyo 500k,then ikaendelea mpaka kufikia 6m end of the year, hesabu hiyo utaipata kuanzia mwaka unaofuata