tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Fuata ushaur ea huyu mkuu maana kuna watu wakija watakupa ushauri humu daah!Muone daktari aisee,usiogope,humu utaletewa ushauri wa vibwengo hatimae uumwe zaidi.
Kuna mtu anaweza akaja humu akamwambia paka pilipili,utapona,jf kuna watu...Nenda hospital humu kuna Wauaji
Mkuu wewe una areji na surphur nakushauri ùsitumiē dawa yenye surphur mfano ni hizo metakefine zote bora utumie zile msetoWakuu kama wiki imepita nilikuja dawa za Malaria inaitwa Ekelfin na ikanisababishia kiuvimbe kwenye uume upande wa kushoto na tako ya kushoto pia, nasema hivi maana ni mara ya pili nakunywa hii dawa na inaleta matokeo haya haya!!
Lakini safari hii uvimbe ulikuwa na muwasho sana na kupelekea kujikuna... nahisi niliharibu ngozi kwa kujikuna maana baada ya uvimbe kuisha ile sehemu ilianza kutoa majimaji na maumivu kidogo, hivi ninavyoandika kuna kiupande kimekauka lakini kwingine bado!
Je nitumie dawa gani kumaliza ili tatizo? Maana nimeanza kupata waswasi!
Natanguliza shukrani!!
Surphur = SulphurMkuu wewe una areji na surphur nakushauri ùsitumiē dawa yenye surphur mfano ni hizo metakefine zote bora utumie zile mseto
weka picha embu!Wakuu kama wiki imepita nilikuja dawa za Malaria inaitwa Ekelfin na ikanisababishia kiuvimbe kwenye uume upande wa kushoto na tako ya kushoto pia, nasema hivi maana ni mara ya pili nakunywa hii dawa na inaleta matokeo haya haya!!