Msaada: Uume wangu hausimama kama zamani

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Za asubuhi waungwana!?

Kama mada inavyojieleza,takribani kuanzia mwezi uliopita yani October nimekua na tatizo ambalo sijajua tatizo ni nini ingawa nahisi siko poa kimawazo

Mwezi October mwanzoni nlipatwa na mkasa wa kukamatwa na dogo maeneo ya karibu na guest, baada ya kutokea tafrani ya kupinga suala hilo wananchi wakuda wakaja juu,nikachukuliwa na kupelekwa sentro

Kule nliwekwa ndani na nikatoka baada ya kuhonga hela usiku usiku wa manane

Sasa tangu wakati huo bado lile tukio linanijia kichwani na kuhisi bado kesi inaendelea ntafuatwa sasa,manake police siwahamini kabisa ingawa nlitoa kitu kidogo ili niachiwe then kesi nliambiwa itaendelea taratibu ,ila imekua kimya

Sasa tangu tukio hili litokee ufanisi wangu wa dushelele naona uko tofauti sana yani siku hizi hata nikiona mdada anapita uchi sidindishi,kitandani naperform kwa wastani tu yani sina raha kabisa

Zamani nikimwona demu tu mwenye makalio makubwa mkuyati lazima usimame,Ila siku hizi baada ya tukio nimekua sina hamu kabisa ya wanawake

Nishaurini Jamani nifanye nini nirudi katika hali ya kawaida ,manake hata mchepuko wangu mwingine kashtuka sipo kawaida.
 
Asante mkuu @Mjina Mrefu
Duuh pole

Muwa kusimama inahitaji sana akili iwe imetulia.

Just relax, piga mazoezi na kujichanganya na watu.

Stress zikikuisha, nyoka atakua akifyatuka kama mshale hata ukiona wale warembo vimbau mbau
 
Aisee mkuu hilo tukio limekuathiri kiakili sana. Sasa unachotakiwa ufanye ni kurelax. Piga tizi.. hiyo hali ikiondoka kwenye akil utarud tena kuwa normal
 
Hapo tatzo nilolioana mm ni kukamatwa na police, japo sijajua umri wako, lakin mi ningekushauri upumzike kwanza utomb*ji mpaka uanze kupata wet dream hapo na akili itakuwa imetulia tuli, then nyoosha watu sasa.
 
Hapo tatzo nilolioana mm ni kukamatwa na police, japo sijajua umri wako, lakin mi ningekushauri upumzike kwanza utomb*ji mpaka uanze kupata wet dream hapo na akili itakuwa imetulia tuli, then nyoosha watu sasa.
Nna 31 mkuu
 
Yote hayo yakiisha ukarudi ktk hali ya kawaida usirudie tena kwa hao madogo mkuu, next time unaweza usipate nafasi ya kuandika uzi kama hivi tena.

Good morning.
 
Nna 31 mkuu
Basi tatizo halijaanza baada ya tukio la kipolice, hilo tatizo litakuwa lilikuwa linakunyemelea taratibu pasipo wewe kujua, umri kuanzia 25-40 ni kipindi cha utafutaji wa pesa kwa nguvu kubwa sana hasa kwa vijana wanaotokea kwenye familia zenye uwezo mdogo kiuchumi.

Pengine kuna majukumu makubwa uliyo nayo ambayo hayaendani na kipato chako kwa mwezi unachokipata na kujikuta unawaza maisha masaa 24, hivyo basi hali hii inapelekea kupungua kwa uzalishaji wa homon za testosterone na kukosa hamu ya tendo la ndoa,

Ushauri wangu, naomba usilichukulie hilo kuwa ni tatizo limekupata, tuliza akili yako, na kama Haujaoa jikite kwanza kutafuta pesa ujifanye umesahau kuhusu sex then ukirudi utakuwa na nguvu mpya.
 
Poa mkuu
Yote hayo yakiisha ukarudi ktk hali ya kawaida usirudie tena kwa hao madogo mkuu, next time unaweza usipate nafasi ya kuandika uzi kama hivi tena.

Good morning.
 
Thanx mkuu,umeongea ukweli kabisa
 
Pole mkuu hapo anza mazoezi haswa jogging alafu push ups kama zote. Pata muda wa kupunzika au tafuta safari fupi uende matembezi hata Tanga huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…