Haaaaa Uzi toka tarehe 13 Hadi Leo mchangiaji Ni mmoja tu, daah inasikitisha Sana
Ndugu mleta mada Hilo Ni tatizo la wengi pia Ni janga kubwa....kurudi ktk Hali ya kawaida inawezekana ila yahitaji juhudi na kujitoa hasaaa
1) Acha kufanya punyeto
2) Acha kuangalia video za x
3) Acha kufatilia Mambo ya udaku, stor za mapenzi ambazo hukuletea matamanio
4)Epuka kukaa mpwekee, yaani usiwe mtu wa kukaa pekee yako Sana
KUHUSU KURUDISHA UUME KTK HALI YA KAWAIDA
1) usipende kuvaa chupi/ boxer inayobana sanaaa hi husaidia maumbile kuwa madogo maana uume unaposimama huhitaji nafasi
2) fanya maseji ya uume asubuhi na jioni kwakutumia mafuta ya Nazi au mafuta yoyote
3) Fanya mazoezi ya kegel na pia mazoezi ya squash/ skwashi
4)kunywa maji mengi Sana walau Lita 3 hadi 5 kwa siku
4)Penda Sana kujihusisha na mafundisho ya dini/ imani maana punyeto Ni dhambi
5) Jitibu kisaijorojia yaani usijihukumu, usijilaumu au kuumia sanaaa unaposhindwa kufanya haya Bali jipo moyo taratibu piga hatua hatimae utafanikiwa......
NB; ila kumbuka ukiacha punyeto basi mengine hatakushinda
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau