Msaada: Uume wangu umesimama hautaki kurudi katika hali ya kawaida

Pole mkuu! Ushaenda hospitali? Msicheze na vitu nyeti hivyo...! Ukiona kitu sio cha kawaida kimbilia hospitali.
 
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii kitu ni siriaz. Nenda hospitali fasta. Halafu ujue kuna 'wazee wa busara' ambao wanatega uchawi unaoitwa 'usinga' Ukimtafuna tu mwanamke wake aliyemtegea either inagoma kutoka au unaharisha mfululizo au inakataa kulala. Kwa hiyo nenda hospitali ili uhakikishe ni priapism na sio usinga. Maana kama ni usinga ni lazima umwone mwenye mke autegue otherwise UTAKUFA!
 
Uchome na pasi ya moto kidogo tu.
Unamsaidia au unamuangamiza?... Anyway ushauri mzuri..... .. Maana mtu hawezi dinda siku 3 halafu akapata ubavu wa kuandika uzi jf.
 
Endelea kupiga mzigo ukichoka italala
 
Rejea kichwa cha habari juu
Ni siku ya tatu sasa toka nmefanya mapenzi na mdada wa kazi hapa home sasa uume wangu umedinda mpaka Leo umesimama nini tatizoo msaada plzz
Naomba uende maduka ya dawa kaulizie dawa inaitwa Slidenafil 50mg. Nunua vidonge viwili. Tatizo lako litaisha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…