Msaada uume wangu unaoza

Msaada uume wangu unaoza

1gb

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
2,199
Reaction score
2,859
Wana jf.
Naomba msearch thread yenye topic isemayo @Mficha uchi hazai...Nimejaribu kuweka link na ku edit topic nimeshindwa.lengo la kurudia ni baada ya kuona kichwa cha habari hakihamasishi wana jf kuingia/kuifungua thread hiyo.Shkrani kwenu mtakaotoa msaada.
 
Kaka ungeelezea tu moja kwamoja hapa.Pole kwa matatizo hayo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ushauri wangu wa haraka ni uende hospitali...onana na madaktari wa tiba ya ngozi
 
Pole kaka,,....usijali utapata tiba tu muone daktar na kua huru kujieleza wala usione aibu....hakuna mkamilifu
 
Back
Top Bottom