Nimeamka asubuhi ya leo gafla naona kitu kama upele mkubwa kiasi kama jipu hivi sehemu ya shingo ya uume wangu.
Uvimbe huo hauumi kabisa but unanipa wasiwasi coz haijawahi kunitokea.
Naomba msaada tafadhali nifahamu ni nini na nichukue hatua gani mapema.