Tupia picha mkuu,
pili
kinaweza kikawa kijipu uchungu
tatu ushauri
usikikamuekamue kiachwe mpaka kipotee/kama kimeonyesha kimdomo kaa dall ya jipu basi utafanya yanayopaswa kufanywa.
Pia unaweza ujkaenda hosptali kucheki hiyo kitu.
Pia usisahau kupima ngoma na majibu kaa nayo mwnywe.