Nenda hospitali kwa maelezo yako hayo linaweza kuwa tatizo kubwa!Habary za kutwa wanajamvi poleni kwa mapambano ya kutafuta ushindi,
Ana baada ya kusabahiana wandugu naomba kufahamu kwa hii n nini? Pembeni ya kibofu kunakua kama kuna uvimbe ulio na maji ndani mwake ukiuminya unatoweka. Je ni ugonjwa na kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa gani ? Na tiba yake ni nini??
Duu!!mkuu [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kibofu si kiko ndani?,au wasemea ukichinja mbuzi labda kibofu chake?
Weka picha mkuu nione ili nijue itakua ni niniHabary za kutwa wanajamvi poleni kwa mapambano ya kutafuta ushindi,
Ana baada ya kusabahiana wandugu naomba kufahamu kwa hii n nini? Pembeni ya kibofu kunakua kama kuna uvimbe ulio na maji ndani mwake ukiuminya unatoweka. Je ni ugonjwa na kama ni ugonjwa basi ni ugonjwa gani ? Na tiba yake ni nini??
hajui kujieleza,usikute ana malengelenge juu ya ngozi hapo kiunoni,yeye anadai pembeni ya kibofu,hivi kibofu kinakaa ndani ama kiko nje?,Duu!!mkuu [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mkuu umetumia njia gani kukigusa kibofu????????Habary za kutwa wanajamvi poleni kwa mapambano ya kutafuta ushindi,