judey JF-Expert Member Joined Jul 17, 2021 Posts 450 Reaction score 535 Jan 22, 2024 #1 Kichwa cha habarii chajieleze natafuta chuo cha veta kizuri jijini mwanza Ambacho kinatoa kozi ya ufundi umeme wa manyumbani pia umeme wa magarii Pia ambacho vyumba vya kupanga sio bei ghalii na vinapatikana kwa urahisi Naomba kuwasilisha
Kichwa cha habarii chajieleze natafuta chuo cha veta kizuri jijini mwanza Ambacho kinatoa kozi ya ufundi umeme wa manyumbani pia umeme wa magarii Pia ambacho vyumba vya kupanga sio bei ghalii na vinapatikana kwa urahisi Naomba kuwasilisha