L lukme Senior Member Joined Apr 18, 2012 Posts 191 Reaction score 24 Nov 25, 2012 #1 habari wana jf. naomba msaada kwa wanaojua aina ya viambata hatarishi kwenye vipodozi. kama yupo anaezifahamu naomba aviweke hapa kwa manufaa yetu wote. nawasilisha
habari wana jf. naomba msaada kwa wanaojua aina ya viambata hatarishi kwenye vipodozi. kama yupo anaezifahamu naomba aviweke hapa kwa manufaa yetu wote. nawasilisha
C ChidofK Member Joined Oct 27, 2012 Posts 6 Reaction score 1 Nov 25, 2012 #2 1. Zebaki. 2.Hydroquinone 3. Other heavy metals like lead