Habarini.
"mwenzangu" amekuwa na tatizo hili kwa mwezi na nusu sasa. Ana vijipele vikubwa vimegandana kati ya sehemu ya uke na haja kubwa. Pale katikaji.
Tumekwenda hospitali na akaambiwa labla ni fungus. Ametumia dawa pakakauka na kuonesha pamepona. Lakini vijipele vimerudi tena upya na kwa wingi. Haviwashi lakini vinauma sana wakati wa kuDO.
Naombeni msaada wenu kwa wenye ufahamu wa taaluma hii.