Msaada; vidonda vya tumbo vinanitesa sana.

Mnhamba jr

Senior Member
Joined
Mar 10, 2023
Posts
164
Reaction score
448
Nimetumia dawa ya heligo kit lakini wap aisee yaani hapa sina hali. Sijawahi umwa huu ugonjwa ni mara ya kwanza. Sinywi pombe wala soda. Nisaidieni wakuu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
wakati unaendelea na matibabu ukiweza kunywa maziwa usiku kati ya saa sita na saa nane hata glass moja.
pia unaweza kutumia bamia zipashe joto kiasi kisha kula zipunguze acid tumboni.
 
Maziwa yanagesi
 
Maganda ya ndizi mbichi ni tiba nzuri sana so nenda katafute mwenyewe jinsi gani unaweza kuyatumia kujitibu peptic ulcers siwezi kukueleza usije ukakosea halafu lawama zote ziwe kwa joni...
 
Yaani tumbo linauma kama linawaka moto vile au kama vitu vina choma choma linaanza hapa chini ya kifua kisha linazunguka lote yaaani mvurugano tu aisee

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Tiba nzuri ya vidonda vya tumbo ni kula kwa wakati Milo yote mitatu kunywa maji mengi kula ndizi za kuiva kwenye Mlo wako wa asubuhi
Kunywa maji nusu Lita nusu saa kabla haujaingiza chakula tumboni ukishakula chakula subiri dk 15 ndio unywe maji ya kunywa
 
Anhaaa,, hapo kwenye milo ntarekesbisha mana me huwa napiga chai saa5 hadi usiku tena mana huwa sijisikii sana kula ( hii hali tangu utotoni sio mlaji sana)

Back
Top Bottom