Mnhamba jr
Senior Member
- Mar 10, 2023
- 164
- 448
Barikiwa sana
Dalili zake zipojeNimetumia dawa ya heligo kit lakini wap aisee yaani hapa sina hali. Sijawahi umwa huu ugonjwa ni mara ya kwanza. Sinywi pombe wala soda. Nisaidieni wakuu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Yaani tumbo linauma kama linawaka moto vile au kama vitu vina choma choma linaanza hapa chini ya kifua kisha linazunguka lote yaaani mvurugano tu aiseeDalili zake zipoje
Ubarikiwe sana.wakati unaendelea na matibabu ukiweza kunywa maziwa usiku kati ya saa sita na saa nane hata glass moja.
pia unaweza kutumia bamia zipashe joto kiasi kisha kula zipunguze acid tumboni.
Maziwa yanagesiwakati unaendelea na matibabu ukiweza kunywa maziwa usiku kati ya saa sita na saa nane hata glass moja.
pia unaweza kutumia bamia zipashe joto kiasi kisha kula zipunguze acid tumboni.
Dawa nilizo andikiwa, nilizigugo matumizi yake na pia dalili zote za haya madonda nazipitia lakini sijui huenda siko sawa labdaSorry umejuaje kuwa ni huo ugonjwa bila kupima?
aisee,magonjwa ya tumbo ni mengi "amoeba" yenyewe ni tishio
Tiba nzuri ya vidonda vya tumbo ni kula kwa wakati Milo yote mitatu kunywa maji mengi kula ndizi za kuiva kwenye Mlo wako wa asubuhiYaani tumbo linauma kama linawaka moto vile au kama vitu vina choma choma linaanza hapa chini ya kifua kisha linazunguka lote yaaani mvurugano tu aisee
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu, ahsanteMaganda ya ndizi mbichi ni tiba nzuri sana so nenda katafute mwenyewe jinsi gani unaweza kuyatumia kujitibu peptic ulcers siwezi kukueleza usije ukakosea halafu lawama zote ziwe kwa joni...
Anhaaa,, hapo kwenye milo ntarekesbisha mana me huwa napiga chai saa5 hadi usiku tena mana huwa sijisikii sana kula ( hii hali tangu utotoni sio mlaji sana)Tiba nzuri ya vidonda vya tumbo ni kula kwa wakati Milo yote mitatu kunywa maji mengi kula ndizi za kuiva kwenye Mlo wako wa asubuhi
Kunywa maji nusu Lita nusu saa kabla haujaingiza chakula tumboni ukishakula chakula subiri dk 15 ndio unywe maji ya kunywa