Msaada: Vifaa vya Gari-Honda CRV

Msaada: Vifaa vya Gari-Honda CRV

King Octavian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
403
Reaction score
353
Habari ya siku ya leo na poleni kwa misukosuko ya kuumaliza mwezi na maandalizi ya mwezi mpya.

Nina gari yangu hiyo katika picha, ni Honda CRV model ya mwaka 1995, engine yake bado iko vizuri sana, na toka nimeinunua sijawahi badilisha kifaa chochote ila hivi siku za karibuni nimeona inaanza kupungua nguvu ikabidi niipeleke garage fundi kaichunguza na kugundua baadhi ya vifaa vinatakiwa kubadirishwa, sasa basi kwa maeneo niliyopo hizi gari zipo chache sana kitu kilichopelekea maduka yooote kutokua na spare zake, hivyo nahitaji mwenye kujua wapi nitapata spare aweze kunisaidia kwa hilo, asanteni
 

Attachments

  • 1398955321170.jpg
    1398955321170.jpg
    59.6 KB · Views: 380
Hizo gari ni sheeda aisee.., ukiweza kumpata mtu wa kumuuzia utakuwa na bahati sana.., ila njoo Kariakoo huwezi kosa..
 
Hilo la spare ndo shida kubwa kiukweli, saiv nahaha, nahitaji kubadilisha shockups zote nne, gear lever nayo kama imekua ngumu sana, na distributor

Ukitaka gari ngumu ya uhakika.., ya bei nzuri tuu tena spea zimejaa.., Tafuta Suzuki Escudo V6 tena yenye 4WD..,utaenjoy sana..
 
Ukitaka gari ngumu ya uhakika.., ya bei nzuri tuu tena spea zimejaa.., Tafuta Suzuki Escudo V6 tena yenye 4WD..,utaenjoy sana..

okey sawa ila kwa sasa sina pesa ya kununua gari mpya mkuu, ngoja tu nikomae na hii
 
Weka chasis number ya gari lako na sema ni spare gani hasa unayotaka,ntakupa bei ukiwa interested tunamalizana
 
Kaka
mi nipo Singida ila kuna jama angu yupo Dar hua nam2mia pesa than
anani2mia spea zikiwa mbovu au tafauti hua namrudishia ananibadilishia
ni muaminif sana anaitwa Badi 0657617671 ni mpemba mpigie kwa namb hiyo apo muelewane, nahisi tatizo lako limepata mwarubain kwa badi.
 
Back
Top Bottom