Msaada: Vifaa vya Gari-Honda CRV


mh.... atume fedha kwa mtu asiyemjua? Au ndio mtandao wenu
 
Hilo la spare ndo shida kubwa kiukweli, saiv nahaha, nahitaji kubadilisha shockups zote nne, gear lever nayo kama imekua ngumu sana, na distributor

njoo kariakoo hapa karibu na machinga complex vifaa vyote ulivotaja vipo! !
 
Weka chasis number ya gari lako na sema ni spare gani hasa unayotaka,ntakupa bei ukiwa interested tunamalizana

Chesis namba tena mkuu, nadhani labda nikupe Model number ya gari ambayo ni RD11

Vifaa ninavyohitaji
1. Gear Lever
2. Shock Ups za mbele na nyuma
3. Distributer yake origin( kinachofua umeme kwa wenye uelewa watanirekebisha, kwa sasa natumia koili ambayo siyo yake
4. Mashine za kupandishia vioo, kwa kitaalam mtanisaidia jina lake
5. Vitasa vya Milango vilivyopo vinaji lock
6. Stabilizer zote nne
7. Vile vi mipira vinavyoshikilia engine isicheze mtanisaidia jina lake.
 

Kimeo hicho😜
 

Chasis number muhimu kuiweka ili upate msaada hasa kwa item no 2 hapo juu (shockabs) na engine namba kwa item no 7 (engine mount)
 
Hiyo gari usipoijua itakusumbua sana ila ukiijulia ni gari ngumu, stable na inakimbia sana. mtaalam wa spare za honda na subaru anaitwa Zizou yuko mtaa wa lindi oposite na machinga complex. ila ukienda kichwakichwa utapigwa na madalali nenda straight pale.
 
kasema anataka shock up,na gear Link,hiyo gari ni model ya zaman spare zake nyingi mnadani,tafuta fundi wa kiwango afungue spare panda bac mpaka dsm utapata,angalizo=EPUKA MATAPELI
 
King Octavian nimeangalia hiyo avatar yako nikajiuliza kama unatoaga lift wewe!!
 
Last edited by a moderator:
kasema anataka shock up,na gear Link,hiyo gari ni model ya zaman spare zake nyingi mnadani,tafuta fundi wa kiwango afungue spare panda bac mpaka dsm utapata,angalizo=EPUKA MATAPELI

Umempa ushauri mzuri sana,tatizo sio spare ya HONDA tatizo model hiyo ni ya zamani,upatikanaji wake si kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…