Msaada: Vifundo vya miguu kuuma

Chiefmweusi

Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
87
Reaction score
9
Napendelea kufanya mazoezi ya kukimbia kila jion..lakin nimekaa kwa mda wa miezi 2 bila kukimbia nilipo anza tena nilikimbia mita chache2..nikasikia maumivu makal sana kwenye vifundo vya magoti(magotini) utafikili mifupa inagusana sasa ni wiki ya 3 bado nackia maumivu nikijalbu kukimbia tatizo hili lina nipa wacwac...naomben ushauli wana JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…