Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Cheti unatumiwa Hadi ulipo after graduation. Ukitaka kujiendeleza naamini unaweza maana chuo Kiko accredited and credible kutoa elimu husika.Je nikisoma ngazi ya certificate hicho cheti chake nitakipataje na ninaweza kujiendeleza
Ukihitaji unaweza kusoma hapa udemy wao wanacharge dola $13 tu.Je nikisoma ngazi ya certificate hicho cheti chake nitakipataje na ninaweza kujiendeleza
Naona mambo bila bila ila kwa mimi nisipo kua na ticha ananielekeza live nahisi ni kazi bureDuniani huko elimu Ni bure kwa Sasa . Mwaka huu Public University zote za Norway kwa Sasa zinatoa Free education for it's citizen and all nations.
Ujeremani wao Wana miaka wanatekeleza huu mfumo.
Elimu bure majuu.
Hata huko udemy unapata tutorial... Au unataka kusoma software engineering kwa kiswahili!? [emoji16][emoji16]Naona mambo bila bila ila kwa mimi nisipo kua na ticha ananielekeza live nahisi ni kazi bure
Hapana kwa ngeli mkuuHata huko udemy unapata tutorial... Au unataka kusoma software engineering kwa kiswahili!? [emoji16][emoji16]
Kama hukusoma Physics nadhani ndoto yako itaishia hapo. Labda uangalie ICT.Habarini! Hapa naomba msaada nahitaji kusomea software engineering hapo DIT.
Maswali yangu:
1.Je inaitaji kombi gani kwamimi sijasoma chemistry nina physical tu?
2.ufaulu kiasi gani?
3.Je ada yake ikoje kwa mwaka?
4.ninaweza anza na diploma moja kwa moja au mpk certificate.
NAWAKILISHA.
Hizi kozi kama sio mtu wa kujisomea jua utaishia kuwa injinia kilaza. Kama mpaka ufundishwe na mwalimu nakushauri achana na kozi yoyote ya kompyuta. Kaa nazo mbali kabisa.Naona mambo bila bila ila kwa mimi nisipo kua na ticha ananielekeza live nahisi ni kazi bure