zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 4,873 Reaction score 1,217 Jul 1, 2014 #1 Nina mtoto mdogo,ameota vipele kwnye makalio ambavyo vina muuma sana, msaada wa haraka haraka wenye kujua tatizo na tiba yake.
Nina mtoto mdogo,ameota vipele kwnye makalio ambavyo vina muuma sana, msaada wa haraka haraka wenye kujua tatizo na tiba yake.
stwita JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 1,340 Reaction score 760 Jul 1, 2014 #2 Kama unamvisha pampers badili aina unayotumia
T Tour De France JF-Expert Member Joined Jun 12, 2014 Posts 345 Reaction score 335 Jul 1, 2014 #3 zubedayo_mchuzi said: Nina mtoto mdogo,ameota vipele kwnye makalio ambavyo vina muuma sana,msaada wa haraka haraka wenye kujua tatizo na tiba yake. Click to expand... Ah! Nlidhani makalio ya mwanamke mkubwa nichangie..kumbe mtoto? Ngoja waje wenyewe!
zubedayo_mchuzi said: Nina mtoto mdogo,ameota vipele kwnye makalio ambavyo vina muuma sana,msaada wa haraka haraka wenye kujua tatizo na tiba yake. Click to expand... Ah! Nlidhani makalio ya mwanamke mkubwa nichangie..kumbe mtoto? Ngoja waje wenyewe!