habari zenu wana jf.nimetokewa na vipele vidogovidogo mgongoni,tumboni na shingoni.vinawasha mno na pia vinachomachoma hasa nikisikia joto.naombeni ushauri tafadhali nitumie dawa gani?
Nenda hospitali; kama huduma ya kwanza unaweza kupakaa asali vizuri na taratibu au pata jani la mu-aloevera chukuwa utomvu wake na ujipakae sehemu zote za ngozi zilizoathirika.