Click_and_go JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 451 Reaction score 6 Mar 3, 2011 #1 ....nini kifanyike kwa mtu anayesumbuliwa na vipele visivyokoma kwenye kidevu pindi tu anapoenda kunyoa ndevu ???
....nini kifanyike kwa mtu anayesumbuliwa na vipele visivyokoma kwenye kidevu pindi tu anapoenda kunyoa ndevu ???
pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 Mar 3, 2011 #2 Kuna thread ilijadili suala hilo ukiitafuta inaweza kukusaidia. Wadau walishauri baadhi ya aftershave lotions, na ikishindikana - basi usitumie wembe na mashine zitumiazo nyembe, bali mkasi au mashine zifanyazo kazi kama mkasi.
Kuna thread ilijadili suala hilo ukiitafuta inaweza kukusaidia. Wadau walishauri baadhi ya aftershave lotions, na ikishindikana - basi usitumie wembe na mashine zitumiazo nyembe, bali mkasi au mashine zifanyazo kazi kama mkasi.