Pole kwa kuugua
Kwanza kabisa siku hizi Widal test imethibitishwa kuwa ina low sensitivity na haifai katika kugundua kiuhakika kama kweli una typhoid.. Kwa widal test hiyo inaonekana kama una mild typhoid, lakini kipimo kizuri cha typhoid ni culture ambapo sehemu chache nadhani wanafanya hii dar..