Msaada: Visa ya Cyprus, Turkey au Holland

Msaada: Visa ya Cyprus, Turkey au Holland

shaharzad

Member
Joined
Dec 5, 2022
Posts
5
Reaction score
9
Habari yenu Wakuu. Naomba msaada wenu wa maelekezo vitu gani vinahitajika kupata visa ya kwenda aidha Cyprus,Turkey au Holland.

Kati ya hizo nchi 3 ipi ni rahisi kidogo suala la kupewa visa kwa Mtanzania?

Nikitumiwa Barua ya Mualiko na Mwenyeji wangu akisema yeye atakua Responsible kwangu Financially mda wote wa ziara yangu.

Je nitaombwa Bank Statement? Sababu sina uwezo Wakuu wa kuji sponser (nimetokea familia ya kimaskini) na sina ajira kwa kipindi hiki.

Tafadhalini ndugu zangu nahitaji msaada wenu wa maelekezo. Nipo serious. natanguliza shukrani zangu za dhati

🙏 Asanteni.
 
😂watu mnawaza kubakwa tu, msaidieni,mengine mumuachie mwenyewe
 
Back
Top Bottom