Msaada: Vitabu gani vizuri kwa comb ya E.G.M

Ahsante sana.
Unaweza nitajia topic za math na geog za f.5

math;calculatng device, differtiatn&integratn, algebra1, set, numerical methd, statistics1, cordinate geometry1, linear programng,
geog1 chek pysical geograpy ina part nyng(,theory of the earth, gemorphology, water mass, climatology na zingnezo kma nimesahau also geog 1 kuna practical geog topic kma photo,survey, research,statistics! Xo kwenye hzo topic 4 mtihan unajibia topic moja tuu, xo kama una uwezo zisome zote au kma huna uwezo hakikisha mbili kati ya hzo uko fitt! Overrrr
 

Dah umenipa mwanga wa kuanza kujisomea ahsante
 

BABU MAGOMENI,PIZZO UCHUMI,SILUNKA ACCOUNT,FOREVER WAMENISAVE,BABU O LEVEL COMMERC NA B/KEEPNG KANIPA UJUZ ULIOPELEKEA GRADE ZA JUU KABISA,MATH AIDEN,BABU BABU FOREVER SINCE 1990's
 
Unanisaidiaje kwan cja soma tution, alaf cjui vitab gan vzur au material yanapatikana wap mazur

nenda shule...hizo tuishen zimepoteza wengi. nilisoma Njombe sec bila kuijua tuishen na nikapata B ya pure., kikubwa ni kujitambua tu
 
nenda shule...hizo tuishen zimepoteza wengi. nilisoma Njombe sec bila kuijua tuishen na nikapata B ya pure., kikubwa ni kujitambua tu

duuh! Nakataa had keshoo hiyo B yako ya math ulipata either kwa
1. Kuiba mtihan(mtihan kuvuja)
2.mlikuwa na mwalimu mzuri wa namba
3.Au ulikuwa unawasumbua wenzio waliosma tuition wakufundishe.
all in all ucdhan sifa kuongea uongoo mbele za watu, nan kakwambia kwa shule zetu za serikali hzi hasa kwenye masomo ya pure math, physics, chem,bios, bila tuition utatokaa! NB labda mwenzetu hujui maana ya tuition? Plz dfne Tuition kwanza alafu ndo uje jf tena! Overrr
 

Nakataa unayoyaongea mkuu... Mimi nimesoma PCM oldmoshi secondary. Nilimaliza pale mwaka 2009... Sikuwahi kusoma tution. Na mwalimu wa namba pale sio mzuri saana..anaitwa kinunda Waliosoma maeneo ya moshi wengi watakua wanamjua. But still kwa kuonesha tu kujitambua na kusoma kwa bidii.i was able to get AEA in pcm. Mwalimu wa physics kusema kweli alikua mzuri na ntamkumbuka daima mr.msami a.k.a pdidy... Soo usiwakatishe tamaa madogo. Yote yanawezekana with focus n trying to work hard
 

Ahsante kwa ushaur wako
 

mkuu naweza nikakubaliana na wewe! Lakn nina was was kdgo! Je hukuwah kufundishwa hata topic moja na masela zako shulenii achana na mwalimu! Kuwa muwaz kwa sababu hapa tunaelekezanaa tuu
 
kwahyo ulikuwa unajisomea hesabu mwenyewe ukapata A ...uongo wa kimataifaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…