Msaada:vitabu vizuri kwa PCM na bei zake, nipo Dar

Msaada:vitabu vizuri kwa PCM na bei zake, nipo Dar

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
Hbr zenu ndugu, naomba kuujuzwa vitabu vyote vizur kwa kutumia katika hiyo combination na bei zake pamoja na vinapopatikana kwa Dar es salaam.
 
Hbr zenu ndugu, naomba kuujuzwa vitabu vyote vizur kwa kutumia katika hiyo combination na bei zake pamoja na vinapopatikana kwa Dar es salaam.

kwa hesabu tafuta Pure Mathematics 1 au Engineering mathematics(hiki kizuri zaid mi nakitumia bila hata ya kwenda tuition nakata topics)
kwa phsics University phsics,Nelkon and Parker edition ndo viko poa
Kwa kemia Chands zinahusika
Nenda Furaha Book shop
 
Hbr zenu ndugu, naomba kuujuzwa vitabu vyote vizur kwa kutumia katika hiyo combination na bei zake pamoja na vinapopatikana kwa Dar es salaam.

Kwa physics kachukue nelkon&packer...3rd edition though ni ngumu kuipata bt hata fith edn iko njema kdgo,,pia roger mancastor kwa physics kipo poa,,kwa chemistry tafta vitabu vya taasisi ni vdgo(organic & inorganic)...kwa maths kuwa na pure mathematics(backehouse,,,nimesahau spellings zake pure 1 & 2..pia tafuta reviews za masomo yote ,,,kwa maths kuna mzumbe book project kipo vzr...chands pia ni nzuri kwa conceptial qns na notce...bei jipange kimtindo ndugu
 
Pia chemistry cheki notce za mama shija,,,au mr zaidi,,,ukizipata hizo waweza soma bila kununua vtb vya chemistry though vtb pia ni muhimu kupanua uelewa wako
 
Back
Top Bottom