Nenda bookshop kijana hapa unapoteza muda zaidi utapata ushauri. Hata mtu akiwa nayo utaipataje maana kila
Mtu na mkoa wake. Kama umedhamiria kusomea masomo hayo na ufikie malengo yako ni lazima uingie gharama ununue vitabu vya kiada na ziada na usome kwa bidii. Kama umepanga bajeti yako Sema upo mkoa gani ili uelekezwe duka la vitabu iliyo karibu na hapo ulipo. Kama upo Arusha nenda Kase bookshop karibu na safari hotel au round about ya kwenda njiro na jama upo Dar nenda mitaa ya sikukuu na shauri moyo kwenye stationary za wahindi. Mikoa mingine sijui.
Masomo mema.